TAARIFA KWA UMMA
Katika kufikia ahadi yetu iliyopo kwenye *malengo*na *dira* ya benki ya kuwa taasisi ya fedha inayopendelewa zaidi nchini kupitia mtandao mpana wa matawi unaotoa huduma kwa gharama nafuu zaidi zenye kumlenga mteja na jamii ya watanzania, Tunapenda kuwataarifu wateja wetu na umma kwa ujumla kuwa matawi yetu yote yatafungwa siku ya Alhamisi Novemba 5, 2015 ili kupisha sherehe za kitaifa za kuapishwa kwa *Dkt. John Pombe Magufuli* kuwa Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huduma zitarejea tena katika matawi yetu yote siku ya Ijumaa Novemba 6, 2015 kuanzia saa 2:30
Katika kufikia ahadi yetu iliyopo kwenye *malengo*na *dira* ya benki ya kuwa taasisi ya fedha inayopendelewa zaidi nchini kupitia mtandao mpana wa matawi unaotoa huduma kwa gharama nafuu zaidi zenye kumlenga mteja na jamii ya watanzania, Tunapenda kuwataarifu wateja wetu na umma kwa ujumla kuwa matawi yetu yote yatafungwa siku ya Alhamisi Novemba 5, 2015 ili kupisha sherehe za kitaifa za kuapishwa kwa *Dkt. John Pombe Magufuli* kuwa Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huduma zitarejea tena katika matawi yetu yote siku ya Ijumaa Novemba 6, 2015 kuanzia saa 2:30 asubuhi.
No comments:
Post a Comment