Saturday, 21 November 2015

MAGUFULI AZINDUA RASMI BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amelizindua rasmi Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania mjini Dodoma jana tarehe 20 Novemba 2015.

No comments:

Post a Comment